Tumejipanga vizuri kufanya Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru wa kitaifa ambapo tunatarajia kuupokea katika kata ya Madangwa Tarehe 20/06/2018 ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Lindi ukitokea katika Mkoa wa Mtwara na baada ya kuungazia miradi mbalimbali Mweenge wa Uhuru unatarajiwa kukesha katika kata ya Milola ndani ya Halmashauri ya Lindi kabla ya kuwakabidhi ndugu zetu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.