Hatua ya msingi imekamilika 23/11/2021 na kazi inaendelea katika ujenzi wa madarasa 2 suule ya sekondari Mnara
Hatua ya boma 3/12/2021
Hatua ya upauaji 13/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya uwekaji bati 14/12/2021 na kazi inaendelea
Hatua ya uwekaji bati imekamilika 16/12/2021 na kazi inaendelea kwa hatua nyingine ikiwa ni pamoja na upigaji plasta
Ujenzi umefikia hatua ya kumalizia skimming na kazi inaendelea kwa hatua nyingine 20/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya finishing na kazi zilizopo ni kupaka rangi ndani 27/12/2021
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.