Muonekano wa hatua ya msingi shule ya sekondari MTAMA 20/11/2021
Ujenzi upo kwenye hatua ya kupanga mawe kwa ajili ya kumwaga zege la jamvi
Hatua ya boma imekamilika 03/12/2021 na kazi inaendelea kwa hatua ya rinta 04/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya upandishaji wa kozi 3 za juu 07/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya kumalizia skimming huku kazi nyingine zikiendelea 21/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya umaliziaji na kazi zilizopo ni kumalizia kupaka rangi, kuweka tiles kwenye ngazi pamoja na kuweka madawati katika kila darasa 28/12/2021
Ujenzi umekamilika shule ya sekondari Mtama
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.