Hatua ya msingi na kazi inaendelea 20/11/2021
Hatua ya zegejamvi
Upandishaji wa boma 1/12/2021
Umaliziaji hatua ya boma 2/12/2021
Hatua ya boma imekamilika shule ya sekondari Namupa ujenzi wa madarasa mawili 02/12/2021
Ujenzi umefikia hatua ya rinta 05/12/2021
Hatua ya bati imekamilika 14/12/2021 na kazi inaendelea kwa hatua nyingine
Hatua ya skimming 15/12/2021 na kazi inaendelea
Ujenzi umekamilika hatua iliyobakia ni kuweka tiles 22/12/2021
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.