Kituo cha Afya Pangaboi kilipokea kiasi cha fedha millioni 500 kutoka Serikali kuu kwa lengo la ujenzi wa majengo manne ambayo ni jengo la uzazi na jengo la upasuaji (mbili kwa moja), jengo la maabara, jengo la kufuria na nyumba ya wafanyakazi (tatu kwa moja). Ujenzi upo katika hatua ya msingi.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.