Sunday 19th, January 2025
@LINDI
Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh Bi Zainab Telack pamoja na viongozi wa ngazi ya wilaya na halmashauri zote za mkoa wa Lindi wataupokea msafara wa mbio za mwenge kuanzia tarehe 23 Agosti mpaka tarehe 27 Agosti 2021 kwa ratiba ifuatayo;
Ndani ya wilaya ya Lindi msafara wa mbio za mwenge utazindua, utakagua, utaona, utaweka mawe ya msingi na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Miradi ifuatayo itapitiwa na msafara wa mbio za mwenge ;
Mwenge utakabidhiwa mkoa wa Mtwara tarehe 28 Agosti 2021.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.