Tuesday 3rd, December 2024
@CHUO CHA UALIMU MTWARA
Viongozi, watendaji na wadau wa ngazi mbalimbali kutoka mkoa wa Lindi, Mtwara na pwani waliohudhuria katika kikao Cha kupokea maoni ya wadau kuhusu Rasimu ya miongozo ya uwajibikaji wa kampuni kwa jamii katika sekta ndogo ya mafuta na gesi asilia nchini.
Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 29 Febuari 2024 katika ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo katika chuo Cha ualimu Mtwara, Mgeni rasmi wa kikao hicho alikua ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.