Mkurugenzi Wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama anawatangazia wananchi wote Waliofanya usaili wa madereva tarehe 29/7/2022 kuhudhuria usaili wa mahojiano tarehe 30/7/2022 bila kukosa . Kwa maelezo zaidi pakua hapaTANGAZO LA USAILI WA MAHOJIANO.jpeg
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.